Habari

Sheikh Kipozeo “Msizaezae tu watoto, Mkilala na wake zenu mwagieni nje msilete watoto wa mitaani” – Video

Balozi wa Taasisi ya @smartgeneration_tz ambayo imeanzisha Project ya NAWEZA na SITETEREKI zinazosimamiwa na @nikkwapili na mtangazaji wa Clouds Media @officialcza wamemtambulisha Sheikh Kipozeo kuwa mmoja ya watu watakaokuwa wakielemisha jamii dhidi ya elimu ya uzazi na malezi.

Akitambulishwa na @masoudkipanya ameleza kuwa Sheikh Kipozeo atakuwa akimsaidia katika kuelemisha jamii juu ya masuala yote ya uzazi na malezi ya mtoto.

Baada ya kutambulishwa Sheikh Kipozeo ametoa elimu kidogo juu ya namna ya kupanga uzazi kwa kutumia njia zisizo na madhara kiafya lakini pia faida za kujali familia hasa mke na mtoto.

https://www.youtube.com/watch?v=yA2pUcIzCfg

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents