Mahojiano

Shetta: Nilibadilia aina yangu ya muziki kwa kufuata Trend (+ Video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @officialshetta ameeleza kuwa aliamua kubadilia aina yake ya muziki wa Kurapp na kufuata Trend ya muziki inataka nini lakini kikibwa zaidi ilikuwa biashara.

“Mimi ni msanii lakini pia ni mfanyabiashara hivyo nilibadili muziki wangu kutokana na biashara inataka nini kwa wakati husika.

Pia @officialshetta amezungumzia jina lake la Mwanzo alilitambulishwa nalo kweny ngoma ya MDANANDA la Shetta the don A.K.A King Mswati na kusema kuwa hilo jina halipendi na hataki kusikia watu wakimuita na ndio maana yeye hakutaka hata kulipromote kabisa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents