Habari

Shule 10 bora na 10 za mwisho katika matokeo kidato cha nne, shule 6 za Dar zashika mkia

Baraza la Mitihani nchini (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne ambapo ufaulu umeongezeka kutoka asilimia 67.91 mwaka 2015, hadi kufikia asilia 70.35 mwaka 2016 huku shule 6 za Dar es Salaam zikifanya vibaya.

Hapo chini kuna orodha ya shule 10 bora kitaifa na shule 10 zilizoshika mkia:

BY: Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents