MuzikiUncategorized

Sikiliza wimbo wa chipukizi huyu anayetabiriwa makubwa mwaka huu

Mwaka 2018 unaweza ukawa wa neema kwa wasanii chipukizi baada ya kuonekana kuanza kuachia ngoma kali kimya kimya.

Miongoni mwa wasanii hao ambao wameachia ngoma hizo ni George felix jons anayefahamika kama Mr.Jons. Msanii huyu ameachia wimbo wake uitwao “2018” ambao umetayarishwa na prodyuza Mex Cortez. Usikilize hapa chini

Na Raheem Rajuu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents