Habari

Siku ya wanawake duniani: Huu ni ujumbe wa Rais Magufuli kwa wanawake wote

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewapongeza wanawake wa Tanzania katika kuunga mkono juhudi za serikali katika maendeleo.

Rais Magufuli ameandika hayo kupitia mtandao wa Twitter.

“Aidha ninawapongeza Wanawake wa Tanzania kwa kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali ktk maendeleo. Mungu awabariki Wanawake wote.Nachukua nafasi hii kuwapongeza Wanawake wote ktk kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani.”

By: Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents