Michezo

Simba wataenda Nusu Fainali – Meddie Kagere

 “SIMBA ina uzoefu mkubwa kimataifa. Ina kikosi kizuri kinachoweza kubadili mitazamo ya watu kuona mwisho wa mchezo wao ulikuwa nyumbani. Al Ahly wenyewe wana presha kama ilivyo kwa Simba, jambo ambalo nani anashinda litaamuliwa na dakika 90, nawaamini (Simba) watafanya maajabu na wanaweza wakaishangaza Afrika Ijumaa,” Meddie Kagere, straika wa zamani wa Simba sasa Namungo FC.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents