Simba, yanga peupeee

Image

Image
Mgosi….Mwiba wa Majimaji

Jerry Tegete na Mrisho Ngassa walifunga magoli katika dakika ya 23 na 75, na kuwainua mashabiki wa Yanga siku ya Jumamosi pale timu hiyo ilipoilaza African Lyon Jumamosi na kufikisha pointi 24 nyuma ya Simba ambao nao walishuka dimbani na kukausha Majimaji ya Songea kupitia kwa Mussa Hassan Mgosi dakika ya 39 na 72 mabao 2 kwa bila. Spidi ya Simba bado iko kwenye mshale wa 120 ikiwa na pointi 36 baada ya kushinda mechi 12 katika la ligi

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents