Burudani

Mnasema nani kafulia?

Image

Image
Mjengo wake

Image
Usafiri wake
Zay B aka Mwanadada gaidi ameibuka na kusema kuwa kimya chake kingi hakimaanishi kwamba amefulia kimuziki ila ni kutokana michongo inayomuingizia hela zaidi ya muziki wa bongo ambao bado haulipi. Mdada kwa sasa anamiliki Toyota Premio na yuko kwenye harakati za kumalizia mjengo wake pande za Buyuni, Pugu. Kama hiyo haitoshi, Zay B anasema kwa sasa yuko kwenye mkataba wa kufanya kazi za muziki na kampuni ya Butile Africa Group ya Afrika Kusini. Kuna lingine?

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents