Jamii salama yazinduliwa

Image
Taasisi isiyo ya kiserikali wala kibiashara ya Peercorps Trust Fund, imezindua jamii salama yenye malengo ya kupunguza maambukizi ya VVU, kuboresha maisha ya kijijini hasa kwa mama na mtoto, kuboresha elimu na usawa na pia kuzuia ajali. Akiongea na waandishi wa habari leo kwenye ukumbi wa maelezo, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo, Dr. Hamis Kigwangalla, amefafanua kwamba nchi nyingi zinazoendelea zimekuwa na wakati mgumu kupambana na ajali kutokana na kuwa na uwezo mdogo kiuchumi hivyo kupoteza nguvu kazi za nchi na kuzidisha umaskini, sababu iliyowapelekea kuzindua Jamii hiyo wakishirikiana na Taasisi ya Kiswidishi ya Karolinska

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents