HabariMichezo

Simbu afunga A-Z vipimo alivyofanyiwa baada ya kushinda medali (+Video)

Kwenye mashindano ya riadha kimataifa kila mshiriki katika kumi bora hupimwa kama katumia dawa kuongeza nguvu – Alphonce Felix Simbu, mshindi wa medali ya dhahabu mbio za marathon katika michezo ya Jumuiya ya Madola nchini Uingereza.

 

Related Articles

Back to top button