Mshambuliaji wa timu ya taifa Tanzania Simon Msuva ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji wa Klabu ya Alqadsiah kutoka Saudi Arabia.
Nyota huyo amejiunga na timu hiyo yenye maskani yake Khobar, akitokea miamba ya Wydad Casablanca.