Burudani

Video: P Funk Majani awageukia wasanii “Nimesikitishwa, wengine wanaweza kushikwa na tamaa”

Mtayarishaji wa muziki @majani187 ameshangazwa na muitikio mdogo wa wasanii kwenye mkutano wa Kamati ya Haki Miliki wa kukusanya maoni ya namna sahihi yakukusanya nakugawa mirabaha.

P amewataka kuwa na umoja na kushirikiana katika vikao ya maendeleo ya tasnia yao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents