Burudani

Sisqo na kundi lake la Dru Hill kutumbuiza Kenya Jumamosi hii

Mark Althavean Andrews, maarufu kama Sisqó ni mwimbaji wa RnB kutoka Marekani ambaye alivuma mwishoni mwa miaka ya 90 na hits zake kama ‘Unleash the Dragon’, ‘Thong Song’ na zingine.

dru hill

Sisqó pia ni lead singer wa kundi la ,ru Hill ambalo limewahi kutamba na nyimbo kama ‘How Deep Is Your Love’, ‘In My Bed’ na zingine.

Mwimbaji huyo na kundi lake la Dru Hill linaloundwa na yeye, Taio, Nokio na Jazz wamewasili Kenya tayari kuwapa burudani mashabiki wa nchi hiyo kwenye onesho litakalofanyika Jumamosi ya Oct 24.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents