Burudani

Solange Knowles yasemekana avishwa pete na mchumba wake wa miaka 51 wiki hii

Kwa mujibu wa ripoti mbalimbali, dada yake Beyonce, Solange Knowles mwenye miaka 28 wiki hii amechumbiwa na boyfriend wake aliyekuwa naye kwa miaka 5 aitwaye Alan Ferguson, mwenye miaka 51, wakati akisheherekea birthday yake.

solange bf-1

Hata hivyo Solange hajathibitisha ripoti hizo lakini alipost picha akiwa na mpenzi wake Alan, na kusema birthday yake ilikuwa ‘perfect’.

Solange bf-2

Chanzo cha karibu na couple hiyo kimesema ni kweli kuwa Alan amemchumbia Solange Jumatatu wiki hii (June 23).

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents