HabariMichezo

SPG yampata mbadala wa Messi

Paris Saint-Germain imekusudia kumsajili kiungo wa Manchester City, Bernardo Silva kama mbadala wa mshambuliaji wake Lionel Messi.

Licha ya Messi kuwa na nafasi ya kuongeza kandarasi nyingine lakini PSG wanaona kama nyota huyo anajiandaa kuondoka kwenye timu hizo.

Silva, 28 ambaye amejiunga na miamba hiyo ya soka ya Premier League akitokea Monaco mwaka 2017 amewahi kuhusishwa pia na Barcelona.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents