Habari

Mdee kaachini, hakuna samahani- Naibu Spika Mussa Azzan Zungu (+Video)

Mbunge, Halima Mdee amejichanganya kwenye kanuni huku Naibu Spika wa Bunge Mhe. Mussa Azzan Zungu akimrekebisha.

”Hizi kanuni sisi tunalala nazo na ukasema ipo kwenye kanuni ya 52, 4 kanuni mpya ambayo hakuna sasa unanyanyuka unataka kuniambia hakuna,”- Mhe. Mussa Azzan Zungu

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents