Steve RnB awaandalia mashabiki wake zawadi ya Valentine’s Day
Hitmaker wa Jambo Jambo, Steve RnB ataachia single yake mpya February 12 ikiwa ni zawadi ya Valentine’s Day kwa mashabiki wake.
“Official release of my NEW Single on February 12TH, 2013 – Special Valentine Gift to My Fans,” ametweet Steve.Hapo chini ni mahojiano na muimbaji huyo kuhusu single yake ya sasa inayofanya vizuri ya Jambo Jambo.
EXCLUSIVE INTERVIEW: STEVE RNB AKIIZUNGUMZIA ‘JAMBO JAMBO’ NA JINSI ILIVYOMPA HESHIMA NA MASHAVU!