Burudani
T.I. kutumbuiza Afrika Kusini October 17
Rapper wa Marekani, Clifford Harris aka T.I. anatarajiwa kutumbuiza jijini Johannesburg, Afrika Kusini, October 17.
Rapper huyo wa Atlanta atatumbuiza kwenye uzinduzi wa Jack Daniels Boomtown jijini humo.
Mwaka jana T.I. alitumbuiza kwenye Fiesta ya Dar es Salaam.