Habari

TANZIA: Ruge Mutahaba amefariki Dunia, fahamu mambo makubwa aliyoyafanya ambayo hayatasahaulika Tanzania (+Audio)

hiAliyekuwa Mkurugenzi wa vipindi na Uzalishaji wa Cl;ouds Media Group Ltd, Ruge Mutahaba amefariki Dunia jioni ya leo Februari 26, 2019 nchini Afrika Kusini alikokuwa akipatiwa matibabu.

Ruge alikuwa akisumbuliwa na tatizo la Figo na Presha kwa zaidi ya miezi sita.

Kufuatia taarifa hizo, tayari Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambi rambi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents