Habari

NFC: Pete ya ‘digital’ inayoweza ku-unlock simu na kufungua milango

‘Near field Communication’ (NFC) ni teknolojia mpya iliyowekwa katika pete ya kuvaa kidoleni na kuipa hadhi ya kuwa digital, lakini tofauti yake na pete za kawaida ni kuwa yenyewe inakazi ya ziada mbali na urembo, ina uwezo wa ku unlock simu na kufungua milango.

nfc-ring

Pete ya NFC inauwezo wa kutunza data za 144 bytes na haihitaji bettry wala kuchajiwa, na pia haiingizi maji ‘water- resistant’.
NFC inafanya kazi kwa kuisogeza tu karibu na simu au mlango bila kugusa.

nfc-2

Ingia hapa kutazama video jinsi pete hiyo inavyoweza kufungua milango ya digital pamoja na ku-unlock simu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents