Muziki

Tommy Flavour afanya back to back, aachi wimbo mwingine ‘Don’t you know’ (+ Audio)

Staa wa muziki wa Bongo Fleva kutoka lebo ya Kings Music Tommy Flavour ameachia audio ya ngoma yake mpya ambayo inakwenda kwa jina la Dont you Know.

Baada ya kuachia video ya ngoma zake mbili wiki iliyopita leo ameamua kuachi audio ya ngoma hiyo.

Related Articles

Back to top button