Picha

Trip ya Jay-Z na Beyonce nchini Cuba yazua zogo

Wabunge wawili wa jimbo la Florida nchini Marekani, wanataka kufahamu iwapo serikali ya Marekani iliruhusu safari ya Jay-Z na Beyoncé nchini Cuba.

article-0-191D53AF000005DC-493_634x519

article-0-191D532D000005DC-454_306x484

Wapenzi hao walikuwa nchini humo kusherehekea miaka mitano ya ndoa yao. Wawakilishi hao Ileana Ros-Lehtinen na Mario Diaz-Balart wamewasiliana na ofisi ya Foreign Assets Control at the Treasury Department kuuliza kama wapenzi hao walipata kibali halisi cha kuingia kwenye nchi hiyo ya kikomunisti.

Barua

Wakikasilishwa na picha za mastaa hao zinazowaonesha wakifurahia safari yao kwenye kisiwa hicho, wabunge hao wamewakosoa kwa kuiunga mkono serikali ya kidhalimu ya Raúl Castro kwa kumwaga mamalioni ya dola kwa kukaa kwenye hoteli za kifahari wakiwa na familia, marafiki na walinzi wao.

article-0-1918A552000005DC-386_634x450

Beyonce Knowles,  Jay-Z

Beyonce
Wawili hao wameikosoa serikali ya Cuba na kutaka wapewe maelezo kuhusu aina gani ya kibali Mr and Mrs Carter walipata kuingia nchini humo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents