Michezo

Twiga stars yaanza mazoezi rasmi (Picha)

Timu ya taifa ya wanawake (Twiga Stars) imeingia kambini hapo jana, na leo imeanza mazoezi kwenye uwanja wa Karume jijini Dar es salaam.

Zifuatazo ni picha za wachezaji wa timu ya Twiga stars wakiwa katika mazoezi ya leo

BY HAMZA FUMO

 

 

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents