Habari
Ubunge mteule CCM, Sheha Faki ajiuzulu
Sheha Mpemba Faki ambaye ni Mbunge Mteule wa Jimbo la Konde (CCM) amesema amefikia uamuzi wa kujiuzulu kutokana na changamoto za kifamilia.
Baada ya kupokea barua yake, Chama kimesema hakina uwezo wa kumzuia kujiuzulu kwani ni Haki yake ya Msingi.