Habari

Ulipitwa? Tazama hapa habari mpya kutoka vituo vya televisheni vya Tanzania (Video)

Waziri wa habari na sanaa Mh. Nnauye emelifungia gazeti la mawio kutokana na kuandika habari zinazochochea uvunjifu wa amani:

Maaskofu wa kanisa Katoliki wameomba viongozi serikalini kufanya maamuzi magumu na yenye busara juu ya hali ya kisiasa Zanzibar:

Naibu Waziri wa TAMISEMI Mh. Jafo amewahimiza watendaji mkoani Morogoro kufanya kazi ili kupunguza malalamiko kwa wananchi:

Jeshi la polisi mkoani Iringa linawashikilia wahamiaji haramu 83 kutoka nchini Ethiopia na kufanya taratibu za kuwarudisha nchini kwao:

Jifunze mengi kutoka kwa mtaalamu na mshauri wa masuala ya kilimo akikufahamisha kuhusu kilimo cha kisasa cha shamba kitalu: https://youtu.be/QNyvrBc242E

SIMU.TV: Mshuhudie Mh. Tindu Lisu akikuchambulia mengi kuhusiana na uchaguzi wa mwaka 2015 na utendaji wa Rais Magufuli:

Fahamu mengi kutoka kwa mchambuzi Kheri James akikufahamisha kuhusu utaratibu na malipo ya fidia ya ardhi:

Yajue mengi kutoka kwa wadau wa idara ya uvuvi wakikujuza kuhusu maboresho ya ukusanyaji wa maduhuli katika sekta ya uvuvi kwa kutumia mfumo wa kieletroniki:

Fahamu mengi kutoka kwa wadau wa mifuko ya hifadhi ya jamii wakikujuza kuhusu ZZF walivyojipanga kuwa na mradi wa majengo:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents