
Moja ya collabo kubwa kwenye muziki wa Bongo Fleva upande wa hip hop ni hii #Putin ambayo imefanywa na Mbeya City Boy @izzo_bizness_mbeya ambayo amemshirikisha Mwamba wa Kaskazini @johmakinitz
Ngoma hii inafanya vizuri kwenye platform zote za muziki na nenda kaisikilize #Putin.
Ngoma hii imefanywa na Producer @s2kizzy