Promotion

Unaweza kucheza muziki? Usikose audition hii itakayokupa deal na kuonekana kwenye video ya msanii mkubwa

Ule msako unaendelea, Je! unahisi unajua kucheza na ungependa kutokea katika video ya mwanamuziki mkubwa wa Tanzania? Huu ni wakati wako sasa.

240445-6500x4000

Tokeza kwenye audition Jumamosi hii ya June 29 pale KIDA PLAZA, Old Bagamoyo road, inatazamana na Mbalamwezi Beach au Cine Club jijini Dar.

Usaili utafanyika ghorofa ya pili chumba namba 202 saa nne asubuhi. Zingatia muda na tokea kimauzo, mtaarifu na mwenzako na ukifanikiwa kupita katika mchujo, basi utalipwa kutokea katika video.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents