Bizzare

Uzee: Morgan Freeman asinzia akiwa katikati ya live Interview ya TV (video)

Katika hali inayofurahisha na kusikitisha upande mwingine, muigizaji mkongwe wa Marekani, Morgan Freeman mwenye umri wa miaka 76 amejikuta anashindwa kujizuia kufunika macho yake kwa usingizi mbele ya camera katikati ya mahojiano ya moja kwa moja na kituo cha Fox.

http://www.youtube.com/watch?v=xHg9EIWfGNs

Freeman aliyekuwa na mtu mwingine katika mahojiano hayo alijikuta akisinzia na kushituka mara kadhaa kitendo ambacho kimeonekana kuwa cha ajabu kuonekana hasa kupitia kipindi cha Live cha TV. Usingizi hauna hodi yaweza kumtokea yeyote!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents