Burudani

Video: Abba Marcus (mtoto wa Jose Chameleone) akipagawisha mashabiki kwa kulishambulia jukwaa na baba yake

Like father like son! Mtoto wa Jose Chameleone aitwaye Abba Marcus anaonesha dalili nyingi za kufuata nyayo za baba yake kwenye muziki. Baada ya kuachia wimbo wake ‘Game Over’ mwezi September, tayari ameshoot video ya wimbo huo ambayo bado haijatoka.

Abba video

Dr. Jose Chameleone alishare picha wakati wa kushoot video hiyo na kuandika “Abba Marcus aka T-REX “GAME OVER” The Video Coming soon thanks to the Fenon Records Team”.

Hapa tazama Abba Marcus akitumbuiza wimbo huo mbele ya maelfu ya mashabiki ambao hawakuacha kupiga kelele muda wote, huku akipewa support na baba yake. Hii ilikuwa ni show ya Radio & Weasle (Neera Concert) iliyofanyika Ijumaa iliyopita Uganda.

http://youtu.be/fjacWJtVBu8

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents