Burudani
Video: Alicia Keys na Jussie Smollett (Jamal) wakiimba ‘Powerful’ kwenye ‘Empire’
Alicia Keys na Jussie Smollett maarufu kama Jamal kwenye tamthilia ya Empire wamekutana kwenye tamthilia hiyo na kuimba wimbo “Powerful.”
Keys ameigiza kwa jina la Skye Summers.