Habari
VIDEO: Alikamwe, Ahmed Ally washindana kula pweza na urojo Zanzibar
@ahmedally_ na @alikamwe wameanzisha ‘Battle’ ya Supu ya Pezwa na Urojo Visiwani Zanzibar 🤪😂
Ni kuelekea Kizimkazi Festival ambapo Afisa habari wa Klabu pendwa zaidi nchini @simbasctanzania na @yangasc wakiwa wamewasili Visiwani humo asubuhi ya leo.