Habari

Video: Kinachoendelea kwenye msiba wa Sam wa Ukweli

Msibani wa msanii wa Bongo Flava, Sam wa Ukweli ambaye amefariki usiku wa kuamkia leo June 07, 2018 upo nyumbani kwa mjomba wa muimbaji huyo Tandale Dar es Salaam.

Sam wa Ukweli amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo Hospital ya Palestina, Sinza na mwili wake umehifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala Dar ss Salaam. Sam wa Ukweli alitamba na nyimbo kama Sina Raha, Kwetu Wapo na nyinginezo.

Hii ni video ya kile kinachoendelea Msibani;

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents