Michezo

Video: Mashabiki wa Simba wabaki na Mo, wasisitiza Kazi iendelee

Mashabiki wa Klabu ya @simbasctanzania wamejitokeza na kuzungumza na vyombo vya habari kuhusiana na kile ambacho kinaendelea baada ya kuondoka kwa aliyekuwa Afisa Habari Haji Manara na kusisitiza kuwa kama mashabiki wapo nyuma ya Muwekezaji wao Mo Dewji na kusema kuwa KaziIendelee
“Sisi tunamuunga mkono @moodewji na tunamuambia asichoke. Simba Day itakuwepo na uwanja utajaa kama kawaida.”- Kaauli ya Mashabiki wa @simbasctanzania

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents