Burudani
Video: Miss Universe Tanzania ataja sababu za kusanda mashindano ya urembo
Aliyekuwa Miss Universe Tanzania 2015 na Miss Grand 2014, Lorraine Marriot amefunguka juu ya kushuka kwa thamani katika mashindano ya urembo nchini hasa la shindano la Miss Tanzania, baada ya kutokea sekeseke la Miss Tanzania 2014.
Na Salum Kaorata