Michezo

VIDEO: Mo Dewji atoa Bilioni 20 za uwekezaji

Mfumo wa Mabadiliko wa Klabu ya @simbasctanzania huko FCC umekamilika rasmi Mwenyekiti wa Bodi Mohamed Dewji amewashukuru wale wote walio saidia kufanikisha swala hilo. Ameongeza kuwa kwa miaka minne ametumia jumla Bilioni 21.3 mpaka @simbasctanzania kufika hapo ilipo kwa sasa na kuwa brandi kubwa Afrika na kuzungumziwa na watu Afrika nzima hela ambayo ni nje ya uwekezaji. Mo Dewji akamilisha uwekezaji wa Bilioni 20.

Kuangalia video bofya HAPA

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents