Burudani

Video: Muna baada ya kukosolewa kuhusu ushuhuda wa Patrick ‘hakuna aliyeumia zaidi yangu’

Mwanadada Muna Love amefunguka kuzungumza kwanini anaendelea kutumia ushuhuda wa mtoto wake Patrick ambaye alifariki miezi kadhaa iliyopita na kuzua gumzo mitandaoni. Hatua hiyo imekuja baada ya mapema leo kufanya mkutano na waandishi wa habari na kudai kwamba kupitia mkutano wa Translators Network International Conference utakaofanyika Jumamosi hii Mlimani City Jijini Dar es salaam atafunguka mambo mengi kuhusu mtoto wake huyo ambaye msiba wake ulizua gumzo mtandaoni.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents