Burudani

Nay wa Mitego awaita Wolper, Nisha na Shilole wakwapuaji wa wasanii chipukizi (Video)

Rapper asiyeishiwa vituko, Nay wa Mitego, amewatupia vijembe wasanii wa kike wa bongo movie wanaopenda wasanii wa Bongo Fleva wanaochipukia na kuhit redioni.

1452172701_9426_b

Kupitia video aliyoipost kwenye account yake ya instagram amewataja warembo hao kuwa Jacqueline Wolper, Nisha pamoja na Shilole. Amesema wasanii hao ni kiboko kwa kukwapua wasanii wadogo ambao single zao zinafanya vizuri.

Mtazame hapo chini.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents