Burudani

Video: Ommy Dimpoz, Eddy Kenzo na Amani waungana kuimba wimbo wa Les Wanyika ‘Sina Makosa’

Weekend iliyopita Ommy Dimpoz alisafiri hadi jijini Kampala, Uganda, kuungana na mshindi wa tuzo za BET, Eddy Kenzo kwenye tamasha lake kubwa lililopewa jina la ‘Mbilo Mbilo Concert.’

https://www.youtube.com/watch?v=auO0We76HTQ&feature=youtube_gdata_player

Ommy alitumbuiza nyimbo zake kadhaa ukiwemo Baadaye ambao alisikika akiwaambisha waganda.

11424322_478600832313118_777135170_n
Ommy akiwa na Eddy Kenzo

Baadaye Eddy Kenzo, Amani na Ommy Dimpoz walipanda jukwaani pamoja kutumbuiza wimbo wa Les Wanyika, Sina Makosa.

11266639_848145365240945_1465576263_n
Show hiyo ilifana kwa kiasi kikubwa

11410472_102583460096673_952848455_n
Ommy Dimpoz na Amani

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents