Videos

Video: Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe ala mweleka wakati akishuka ngazi

Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe mwenye umri wa miaka 90 amekamatwa kwenye camera katika tukio la kuanguka chini wakati akishuka ngazi mbele ya halaiki.

zimbabwe-dictator-mugabe-falls-down-steps-photographers-forced-to-delete-images

Mzee huyo alikuwa akihutubia wafuasi wake katika mji mkuu wa nchi hiyo, Harare na alikuwa akishuka kuelekea kwenye gari lake na kujikuta akijikwaa na kuanguka chini.

https://www.youtube.com/watch?v=ngK2mgrarxw

Baadhi ya wapiga picha waliopata picha zake wakati akianguka walilazimishwa kufuta picha hizo na walinzi wake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents