Videos
Video: Shosteez – On the Floor
Hatimaye video ya kundi jipya la akinadada watatu la Shosteez ya wimbo wao On the Floor imetoka. Video hiyo imefanywa na kampuni ya Hefemi Studios. Shosteez ni kundi lililoanzishwa na Lamar. Ingia ndani kuona video hiyo.
http://youtu.be/tfyUuXJKJ58