HabariMichezo

VIDEO: Simba na Yanga zanukia kuvaana Makundi CAF, Gamondi amfunika Robertinho

Unakumbuka goli bora la Kibu Denis kwa Watani Yanga SC, Kikosi cha Mnyama kikiwa chini ya Robertinho wakiondoka na ushindi wa mabao 2-0.

Tunaizungumzia Yanga ambayo ina kikosi Bora kwa sasa kwenye Ligi Kuu ya Nbc, Timu ambayo imetwaa Ubingwa wa Back to back lakini imeshindwa kumfunga Simba SC ya Robertinho.

Rekodi Bora ya Mbrazil Robertinho hajawahi kufungwa na timu yoyote ya Ligi Kuu tangu asaini Mkataba na Wekundu wa Msimbazi ‘Elewa neno timu yoyote’

Simba ya Robertinho iliifunga Wydad Casablanca kwenye uwanja wa Lupaso, Wydad ambayo msimu huo ilikuwa yamoto  iliingia Fainali ya Ligi ya Mabingwa na kukutana na Al Ahly.

TAKWIMU zina mbeba Robertinho, Ni Kocha Bora na anastahili kuendelea kubaki Simba SC

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents