Msanii wa muziki wa Injili nchini Tanzania, @celebremyofficiel ameachia video ya wimbo wake mpya wa ‘AMENITENDEA MEMA’ na anakualika utazame video hiyo kwa kubofya link hapa chini.
Poducer wa wimbo huu ni @DPHTERRAMSON. kutoka Studio za Shama Record na Video imeongozwa na
Director @SAMSHOT, Enjoy.