![](https://bongo5.com/wp-content/uploads/2016/03/1401x788-5969_TR_RS_MINAJ_MANSON_01_129_V3_cmyk.jpg)
Nicki Minaj alikuwa akifanya show Dubai na alionekana kukerwa na mlinzi wake wake aliyeonekana kutokuwa makini na kazi yake.
https://youtu.be/_iGspa3ycds
Wakati akiwa jukwaani akiimba, alimuona mmoja wa walinzi wake hafanyi kazi inavyotakiwa na badala yake alikuwa ameshika simu yake ya mkononi.
Rapper huyo aliamua kwenda kumnyang’anya simu yake na kuitupa nyuma ya stage. Tazama video hiyo.