Burudani

Video: Ujumbe wa kwanza wa Irene Uwoya toka afariki Ndikumana

Leo ni siku ya tano toka afariki na kuzikwa aliyekuwa kapteni wa timu ya Taifa ya Rwanda, Hamad Ndikumana ambaye pia alikuwa ni mume wa muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Irene Uwoya.

Irene akiwa na aliyekuwa mume wake, Ndikumana

Mrembo huyo wa filamu hakuwahi kueleza chochote hata kupost ujumbe wowote kuhusiana na tukio hilo.

Weekend hii Irene alipost video ya wimbo “My Trust Is In You” ulioimbwa na muimbaji wa injili, David G.

https://www.instagram.com/p/BbmCdPbHWyi/?taken-by=ireneuwoya8

Irene na Marehemu Ndikumana walifanikiwa kupata mtoto mmoja.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents