HabariVideos

Vijana wadakwa wakijaribu kuiba vyuma daraja la Tanzanite, kamanda azungumza (+ Video)

Siku ya leo April 4, 2022 Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam likiongozwa na Kamanda  Jumanne Muliro limewakamata  vijana waliokuwa wakijaribu kuhujumu miundombinu ya Daraja la Tanzanite Dar es Salaam kwa kuiba baadhi ya vyuma katika daraja hilo.

Akizungumza na Vyombo vya Habari Kamanda  anasema kuwa wahutumiwa hao wamekamatwa baada ya kukutwa wakijaribu kufungua baadhi ya vyuma na kutaka kuchukua kwaajili ya shughuli zao binafsi.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents