Habari
Vikao rasmi vyaanza Ikulu baada ya Rais wa Zimbabwe kuwasili (+video)
Baada ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kumpokea Rais wa Zimbamwe, Emmerson Mnangagwa leo nchini vikao vimeanza rasmi baada ya kupokelewa. Pamoja na hayo Msemaji mkuu wa serikali, Dkt. Hassan Abbas amesema kuwa Rais Mnangagwa atakutana na Wazimbabwe waishio Tanzania na kutembelea maeneo ya harakati za ukombozi Kusini mwa Afrika.