Habari
Vyuo 10 vyafutiwa usajili na NACTE, TSJ nacho chakumbwa

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) imevifutia usajili vyuo saba ambavyo vimethibitika kuendesha mafunzo bila kukidhi vigezo na utaratibu.
https://www.instagram.com/p/B8YaSq-l7Ae/
Vyuo hivyo ni Azania College Management – Dar es Salaam, Time School of Journalism – Dar es Salaam, ERA Training College management – Bukoba, Aces College of Economic Science (ACES) – Mwanakwerekwe Zanzibar, Zanzibar Institute of Business Research and Technology (ZIBBET) – Mwanakwerekwe Zanzibar, pamoja na Gender Training Institute – Dar es Salaam.