Afya

Wagonjwa wa Corona Kenya wafikia 270, Wapya 8 waongezeka sampuli 1330 ndani ya saa 24 – Video

Wagonjwa wa Corona Kenya wafikia 270, Wapya 8 waongezeka sampuli 1330 ndani ya saa 24 - Video

Wizara ya Afya Kenya imesema Watu wengine wapya 8 wamebainika kuwa na corona na kufanya idadi ya wenye corona Kenya kufikia 270 kutoka 262. “tumepima sampuli 1330 ndani ya saa 24 na Watu 8 ndio wamebainika kuwa na maambukizi, saba ni raia wa Kenya na mmoja ni raia wa kigeni”

https://www.instagram.com/p/B_MPVF_j6WP/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents