Afya

Marekani kesi za Corona zafikia 770,564 vifo 41,114 waliopona wakadiriwa kufikia 70,799

Marekani kesi za Corona zafikia 770,564 vifo 41,114 waliopona wakadiriwa kufikia 70,79

Kwa mujibu wa Chuo Kikuu cha cha Johns Hopkins imesema kuwa takriban kesi za maambukizi ya virusi vya Corona nchini Marekani imefikia 770,564 huku idadi ya vifo ikiwa ni zaidi ya 41,114. Barani Afrika, kesi za maambukizi zimefika 21,317 pamoja na idadi ya vifo 1,080 mpaka kufikia leo Aprili 20.

Mbali na hizo takwimu duniani kote inakdiriwa kuwa na kesi 2,403,963 zilizothibitishwa huku waliopona wakikadiriwa kufikia 624,698 na vifo vikikadiriwa kufikia 165,229

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents