Burudani
Wakazi, Godzilla, Nikki Mbishi kusindikiza uzinduzi wa EP Album ya Jab B, Jumapili hii, March 9, Bilicanas
Rapper Jan B, anatarajia kuzindua EP Album yake Jumapili hii kwenye ukumbi wa Club Bilicanas. Katika uzinduzi huo, Jan B atasindikizwa na Wakazi, Nikki Mbishi, Songa, Godzilla, M-Rap, Country Boy, Azma na Obi Elinami.
Kiingilio shilingi 8,000.